Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo
maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku
waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa
jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.
Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika
lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona
lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni
yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda
amini kwako nimefika!
Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiangaza kumsaka mrembo
wakumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa
mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka yangu
nafsi, nakupenda sweetie.
Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila
nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee
ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe
pekee nayekupenda hapa duniani!
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana
mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila
kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili
nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kama nyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Upepo wangu wakupuliza wewe kutokana na joto kali usijaribu kwa kuvaa
sweta ukapunguza ukali ninachotaka mi nikuwa na wewe naomb unielewe .
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa,lakini ni makubwa zaidi
baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani. inaniuma sana
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami
nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je
unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd
aanze yeye •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni nasikia
raha. Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng’ombe
akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika kwenye sms
likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu halitafutika kamwe.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru
daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö,näfsi håinå raha kükösä
såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä salam yäkö,håkikå nitäfürähikä
kuijuä häli yåko “ümzima”?. ……………………………………………….
Kanuni za kudumisha “PENZI” Milele. 1.Ukipenda ucpende tena. 2.Penda
kwa dhati.3.Mheshimu Mpenzi wako. 4.Kuwa mvumilivu 5.Mjali umpendae
6.Jivunie kuwa nae 7.Ucmfiche jambo 8.Ucpende achukie 9.Unapokosea omba
radhi.10.Uckubali kumpoteza (ukifanya hivyo mtapendana milele) nakupenda
Sana. ……………………………………………………………..
Mapito ni mengi, ktk maisha… Utaumia, utalia, utahuzunika, utakata
tamaa, utavunjika moyo na wakati mwingine kujuta kwanini ulizaliwa,
lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, kukufanya jasiri ktk
kuzifikia ndoto na malengo yako, usikate tamaa MUNGU yupo pamoja na
wewe.UCIKU MWEMA
ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale “MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA”
Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu
Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. “KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI”
Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za “MOYO” Wako.
MACHOZI” Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako.
Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu
Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu
hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu”J.pili njema Hny. …………………..
Mpita njia kashkwa na kiu kaenda kuomba maji jiran,dogo akampa maziwa
jamaa akanywa akasema kiu bado,dogo akampa tena glasi ya maziwa,jamaa
akauliza mna maziwa mengi? Dogo akamjibu si hatuyataki kwani jana panya
alidumbukia, jamaa kusikia hivyo akashtuka akaangusha glasi,basi dogo
akaita mamaa mgeni kavunja ile glasi ya bibi ya kutemea mate!!! Jamaa
akazimia…aa!! …………………….
Ingekuwa upendo unauzwa nisingekuuzia kamwe,ingekuwa pendo ni
mwandiko ningeandika counte nzima,ingekuwa pendo ni wino hakika kalamu
yangu isiyoisha,ingekuwa pendo ni kisima maji kisimani kwangu kwa ajili
yasingekauka.nakupenda hny ………………………
Pendo ni mwandiko mzuri wenye vina ya kimapenzi,kwa utajo wake ni
wenye kutamkwa vizuri,kwa uzuri wake hutufanya tupendane xana,acha
nikupe mwandiko wangu nakuomba uuthamini. …………………….
Wagunduzi walifanya hivi kujua asali ni tamu walionja kwa ulimi, vile
vile shubiri kujua kama ni chungu walionja kwa ulimi. Lakini wanasema
mapenzi ni matamu zaidi ya asali na ni machungu kuliko shubiri. Je.?
Unaweza kuniambia waliyaonja vipi kabla ya kujua? ……………………
RELATED: Sms 10 za mapenzi tamu kabisa kwa wapendanao
Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza
nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika
waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda??
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata
langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi,
amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na
huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba
masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi
yangu. Its over baby! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we
ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea
majonzi, asante sana mpnz! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila
tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo
mwisho wa penzi letu •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia
njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele
ndotoni zinazonijia? •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana, sasa nafsi yangu ishasema
hapana, namuomba Maulana akujalie kheri na afya njema daima, kumbuka
nilikupenda sana. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika najutia nafsi yangu kukupatia mwanaume kiruka njia kila
mwanamke wewe akuvutia, nguo shuruti wataka akuvuliye, katu penzi
sitakaa nikupatiye. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi mbona mapenzi yetu kama yanapoteza dira, kila siku huishi
hila, kitu kidogo wafura hasira. Wanichanganya dia!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Najua ni kweli wanipenda,hata mimi nakupenda laaziz wangu,ila pendo
lako litajidhihirisha zaidi kangu ukizidisha uaminifu.nakupenda mpenzi
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za
maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo
wangu! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha
ungali walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi
kwakukupa la dhati penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi,
na daima nitakuenzi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wangu hayuni mwenye upendo wa dhati,hakika nakupenda,mwengine
sitamani,hamin mpenz kwa zangu hiz tenzi..! *°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako
nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii
nafasi moyo umekuchagua …………..
Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala sibadiliki hilo kwangu
ni muhali, si km sikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu si rafiki ni
ndugu nnaekujali ………
Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona huniondoka machungu
tabia zako mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona mwambie ww ni
wangu …….
Moyo unasikitika hauto acha daima. Machozi yatiririka siusiku si mchana. Huzuni imenishika kwa vile sijakuona ………
Ndege tausi alimuuliza kasuku “hivi kuna viumbe wazuri kuliko sisi
duniani?”kasuku akajibu,ndio wapo kama hujui mtizame huyu anayesoma msg
hii ………..
Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki,
masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa…… lakini wewe ni mmoja tu
maishani mwangu. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa
kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo
nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii. *°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako kuwa pamoja *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea
huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa
huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Ni mapenzi gani yanayofanya simu yako ilie kila nitumapo meseji? *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababu unaonekana hivyo kila siku *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi
nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini
nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe. *°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa
ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila
kitu huwa kizuri. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake, wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau
kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si mtumaji.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na
kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo
inayotuwezesha tuwasiliane *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
SMS 1000 za kubembeza, mapenzi na mahaba
Ni yangu mazoea kila cku cm yako
kuipokea kama si meseji
kunitumia
leo naumia kila napo fikiria nini
kimetokea hadi
mawasiliano yetu
yameanza kupotea,sawa tu.naamini hali
ya kawida itarejea
na
majonzi moyoni yatanipotea
nakupenda mpz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nimezunguka pande zote za Tanzania macho
nikiyaangaza
kumsaka mrembo
wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo
ndani yake na kulila
TUNDA lake
kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi
kama wewe ndiye
ulie uteka moyo wangu.
nakupenda laaziz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Raha ya ucngz ni ucngz . . . .”tamu”ya penzi ni ndoto .
Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahi
nikiwa mimi,
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijute
nakupenda mpz moyoni mwako unitulize.
Nakupenda mpz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutenda
mpz,nakupenda tukwepe fitina mpz.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta
amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong’oneze mwambie
nampenda sanaaaa
Nilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati
,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi
kuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama
ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi
milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal
nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza
kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo
mwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa
maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
kiangazi aumasika
kukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yako
ya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila
nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni
ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi
ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila
kujali.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni
zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani
unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako
limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako
haliwezi futika.
NAKUPENDA
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyo
wangu
mahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendo
lkn kwa msamaha wa raisi mapenzi
nmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapo
daima milele.
nakupenda mpz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumu
kufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwa
kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye na
mashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhat
na mapenz mazito zito,
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman
kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila
mwili wangu upo kwa ajili yako dear
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe
huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno
hayapo kwake,
nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo
tayar kumsaliti na lbd aanze yeye
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
nakupenda mpz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale
unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu
wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatia
na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo
,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza
furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
,,,,,,,,,,,,,
|~<¤>~|
“””””””'”””
Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe.
Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwa
kupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,
nimeambiwa ili
nipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha
yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk.
Je! uko tayari kuokoa maisha yangu?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni,
naishia kukuota ndotoni,
hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha
kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako
hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,
amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiac
hk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl na
unitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin.
Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazd kuchanganyikiwa kwa
ukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laaziz.
Nakupenda kipenz cha moyo wangu.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengi
watakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapo
ambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako
,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakini
hawajapata wa kuwaowa
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
/”””””””””/!
/ %¤ / !
!”””””””””! !
!………!/
Ndani ya box hili kuna silaha tatu za maisha ambazo ni
Aman, Upendo na Furaha, zawadi maalumu kwa watu muhimu
kama wewe.”
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti
usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww ni
mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani
na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
upendo sio tigo eti ongea kwa nusu shilingi wala sio voda
kazi ni kwako, pia sio airtel jisikie huru bali upendo ni
zawadi pekee sana mungu aliyoiweka ndani ya mioyo
yetu.hili ni la kuzingatia dear nakupenda sana
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye
kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende
wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo la
akupendae kwa kila mara japo sekunde moja.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapo
kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya
,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz
●´¯`´¯`●♥¡¡♥●´¯`´¯`●♥
utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa
penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazi
kwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenye
kachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenye
mkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
unaweza ukafunga macho kwa usilolitaka kuliona lakini
hauwez kufunga moyo wako kwa Unalo Lipenda. Nakupenda
Mpenzi
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na
wali,
usizidishe siki akawa mkali.
Ni
mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kama upendo ni tone la mvua nakutumia
!!!!!
!!!!!
!!!!!
Kama furaha ni ua nakutumia maua
*%*%*
)!(
( )
kama tabasamu ni sekunde nakutumia masaa
. ’12’ .
9 _/ 3
‘
.6. ‘
kama maombi ni maji nakutumia bahari
-_-_-_-_-_-
-_-_-_-_-_-
-_-_-_-_-_-
kama mafanikio ni majani
nakutumia miti
,:*”*;, ,:*”*;,
*;% ,,* *; %,,*
__)(__ __)(__
kwasababu nataka uwe na furaha
cku zote
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
.:””””_____.-.-._
( 0 .———–‘
‘—‘
Tunza ufunguo huu,utautumia kufunga mwaka 2011 &
kufungulia 2012. Mungu alizigawa nikakuchukulia na wewe
…………………………
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka
kuna akupendaye naye ni MIMI!.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi
nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,
kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo
kwa kukutumia sms mpenzi wangu,
Nakutakia usiku mwema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji
kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo
kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe
sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!
“NAKUPENDA MALAIKA WANGU”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi
umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama
hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA
MWINGINE ZAIDI YAKO”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi
kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili
mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.
Mchana mwema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala
sina wazo la kukutenda, nakuomba
tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,
siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu
muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.
“NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee
salamu “UHALI GANI MPENZI?”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2
Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe
Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus.
Nakupenda Xana Dia
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa
kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa
upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema
mpenz
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzo
ktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kabla
hjalala.g9t
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila
sababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo
Sababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
pendo la dhati lina sifa
zifuatazo,kuvumilana,kusubiriana,kujaliana,kushauriana,na
La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye
Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni
Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani
Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali
Nakupenda Mpz
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini Kukupenda
Wewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
ahsante mpz kwa kujua thaman yangu kwako,nashukuru
umegundua hisia zangu mapema naomba unipe hifadh ya kudumu
ndani ya wigo wa mtima wako.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Nakupenda zaidi ya Armasi inayo chimbwa ardhin,sipendi
nikupoteze nikajutia Moyoni,naitaji nikuenzi,km mboni yng
machoni.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,sababu we ndo
wangu kipenZ,na sina mwengine lahazz.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mapenz yk hasari kwa mwengine sitamani,umeniteka
akiri,mpaka najihisi punguani,nakupenda sana mpenzi!!
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Ewee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,hakika
n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa….!!!
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo
nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto
kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria,
nakumiss dear fanya hima nyumbani
kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda
dear
………
Penzi langu maarufu nakupa unienzie, Tena ni
penzi nadhifu hilo lazima ujue, Wala si penzi
la khofu wasiwasi likutie, Ni penzi la insaaf
nampa nimpendae,Kama kupenda mauti kwako
nitayarikufa,kama kupenda maradhi dawa kwako
natafuta, kama kupenda bahati mwenzako
naitafuta ,naomba nipe nafasi mwenzako nataab
Na wala sitampa mwengine anayefanana na wewe
………………………………….
UPENDO si ndege ukaonekana angani,
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
UPENDO si wimbo ningekuimbia,
UPENDO si vazi ningekushonea,
UPENDO si picha yangu
ningekutumia bali
UPENDO ni thamani iliyoko
moyoni mwangu.
nakupenda na nakutakia
usku mwema.
…………………..
salaam ni
1,nuru humfariji aliye na huzuni
2 ni jahazi huvusha aliye ng’ambo
3,pia ni nuru huangaza gizani,
wewe ni lulu yangu nakupenda xana,
………………….
“Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,
“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
…………………………..
Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua,
ila napenda jinsi anavyo CORDINATE na wa2,
nafurah kwa kuwa naongea nae SIMULTANEOUSLY,
ila naamin ubongo wake una FUNCTION atajua
kuwa nampenda yaan nahic kama niko
kwny CIRCLE kwan najitahd kumpuuza
lakin is very long MATRIX .
Nafikir
ushamjua kwan shep yake ni SIMPLE POLYGON
namzungumzia MATHEMATICS!! Chezea
………………………….
Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,
sababu we ndo wangu kipenZ,
na sina mwengine lahazz.
…………………………
wee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,
hakika n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa….!!!
………………………
Nashndwa kulala haja ya moyo wng
naijua machoz hayansh homa ya mapenzi naugua
……………………………..
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako,
utawaliwe na
usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba
ujenge taswira yangu katika mawazo yako,
Usisahau kuniota
sweet wangu. USIKU MWEMA
………………….
Asali wa moyo wangu,
fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba,
jua linaweza kusimama,
lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie,
nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu,
njooo mwandani wangu
nakusubiri daktari wangu.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ?
Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,
ndugu zako wanaotugombanisha
na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi.
Mapenzi yetu yadumu daima.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
“Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,
“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
……………………………….
Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda
jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea
nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION
atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE
kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX .
Nafikir ushamjua kwan shep yake
ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!!
Chezea
…………………………..
Katu si kila rafiki ni msafi
wa moyo. Wengine ni wanafiki
wanakuonea choyo. Hutamani
ufariki wachukuwe upendayo.
Hawa hawafadhiliki husda ni
kazi yao, kila unachomiliki
hutamani
kiwe chao. lau kama husadiki
jaribu kukaa nao.Mchana mwema.
……………………..
Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
……………………….
m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,
sijui ni nini nilikukosea
kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia
na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa
wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
kama kuvumilia nimevumilia na sasa yatosha,
nikoradhi mbivu zako kuzikosa,
kuliko kuendelea kujitesa,kumbuka nilikupenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nimeamua kwenda kwani sihitaji kukutenda,penzi la
dhati nilikupa lakini hukutambua kuwa nakupenda
nakutakia maisha mema na utakaye mpenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ama kweli!vizuri havikosi kasoro ,mapenzi yetu kutwa
hayaishi migogoro,hivi sasa giza limetanda totoro
sijui lini tutamaliza hii migogoro?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulisema wanipenda na katu
kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda! Umeamua kwenda ingawa wajua
bado nakupenda, leo ni siku kenda toka umekwenda, amini bado nakupenda
na kwa mwingine siwezi kwenda!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kila siku mimi ni mtu wa
kulia, ipo siku uvumilivu utaniishia, hivi ni kwa nini hutaki kutulia na
kila kitu nimekupatia, wewe wehuka na hao wanaokupapatikia, lakini
utaja jutia siku ikiwadia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
·
Leo tukiwa katikati ya
mwezi wa kumalizia nusu ya kwanza ya mwaka 2013, nachukua fursa hii
kuwatakia MAFANIKIO BORA ya MAISHA wale wote wanaonipa ushirikiano mzuri
katika maisha yangu..
Kila niliposoma sms zako zenye nasaha nyingi niligundua mambo makubwa matano.
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUTHAMINI
Nilipogundua hayo
nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sana kwangu, pia sikuhisi
UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA pia nakuomba unisamehe
pale nilipokukosea.
Hivyo nami nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU;
1. RADHI ZAKE
2. HAIBA KWA WATU
3. MAFANIKIO MEMA. “asante sana”
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mapenz hayana msimu
walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni
msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nashindwa kudanganya moyoni ulivyonijaa
faraja na furaha uliyonipa
moyoni umeshaniingia kwa tabasamu unalonipa
moyo wangu wakuridhia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Raha ya ndege kichaka si
tunduni asilani, RAha ya ndege mpunga na wala sio majani, Raha ya ndege
kuruka na kuimbia angani, Ndege salam nakupa zipeleke kwa makini, iwapo
hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka ingia mpaka ndani, mwambie
namkumbuka japo kuwa simuoni
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Udugu wa kweli ndio wenye thamani,
Utajiri
na mali si chochote maishani,
Upendo na
kunijali ni faraja yangu moyoni,
Hata kama
upo mbali bado nakuthamini, Salam ni amani
kwa yule aijuae,
Salamu ni sunna kwa yule
aitoae,
Salamu ni thawabu kwa yule aitikiae
,
Na mimi nasema “Asalam Alykum”
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Alikosa raha ulipougua!
alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili ww ushibe na
kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na
wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine
ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU. (MPENDE
SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KM AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA.
…………….
Ee’ kidole changu (jinalo
index ka’skosei). . . Ni lini utavaa pete kuthibitisha ushakwalifai
leseni ya kuishi na Binti Beyo nimpendae kwa dhati tokea kilindini?
……………….
“%%%,,”Nina”,,%%%,,”busu”%%%,,”tam”%%%,,”kwa”%%%,,”
ajili”%%%,,”yako”%%%,,”haya”%%%,,”%
%%”,,”fumba”%%%,,”macho”%%%”,,”bac”%%%,,”nikubusu”%%” 1__2__3aah”
umevunja”%%%,,”,,”masharti”%%%,,”,,”bado”%%%,,”,,”,,”,”unasoma”%%%,,”,,
“sms”%%%,,”%%%,,”
nimeairisha”%%%,,”siku”%%%,,”busu”,,”tena”%%%,,”%%%,,”labda”%%%,,”%%%,,”kesho”%%%,,”I
“LOVE,,”,,”YOU”
………………………
.*””* . *””*.
* “”I-“”L-“”O
“*.””V””E”*
“*.U*” Hii ni mizani ya mapenzi, wengine hutoa mali au zawadi, mimi natowa moyo wangu kwako.Je ww unatoa nini ?
………………………
Kwenye ubongo nimekusevu
“I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonae nasema
“NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,every “SECOND”
I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR”
MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
……………………….
Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaon
……………………….
Nimepanda gari la
“KUKUPENDA” Nimefika kituo cha “KUKUWEKA” (moyoni) Ghafla nikapata
ajali mbaya ya kuwa mbali “NAWE”, Nimelazwa hospital ya “KUKUMISS”
(100%) Nimeandikiwa sindano za “KUKUWAZA” / kila saa,,, Nimetundikiwa
dripu ya “UAMINIFU” na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda “MWINGINE”
zaidi yako!!(…..)
………………………
napenda wali nyama , ugali mchicha, pia roast nyama na supu mchemsho ila vyote sipendi zaidi ya ninavyokupenda.
…………………
Sasa nimegundua DAWA ya
MAISHA! N kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi
NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?
……………………..
Salamu ni moyo ktk
“IMANI”. Salamu ni uhai ktk “UPENDO”. Salamu ni ufunguo wa “RIZIKI”
salamu ni chakula cha “NAFSI” salamu ni “MSAMAHA” wa kudumu milele.
Salamu ni kinga ya maradhi” salamu huondosha “UADUI” Hakika salamu
ni”UTAKASO” wa “NAFSI”. Nami nakupa wewe niliyekutunuku. **
………………………..
Mapenzi ni matamu napia
yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni
mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. “NAKUOMBA
USINIACHE MPENZI WANGU”
……………….
Dhamira kuu ya Moyo wangu
ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali
kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. “NAKUTAKIA
MCHANA MWEMA MPENZI WANGU”
…………..
Siku niliyokutana na wewe
kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana
kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na
kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!
…………………….
Samahani mpenzi kwa kukupa
habari mbaya! Nimepata ajali ya MOYO, nimelazwa wodi ya MAPENZI,
Daktari kaniandikia vidonge aina ya BUSU, nimetafuta katika maduka yote
ya dawa nimekosa! Je, wewe waweza kunipatia mpenzi wangu?
………………
Kila chozi likidondoka
linaandika jina lako, kila waridi nilipandalo latoa harufu yako, kila
moyo udundapo hutaja jina lako, nakupeda mpenzi wangu wa ubani,
kukusaliti siwezi asilani!
………………….
Bongo zenye fikra kali
huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni,
nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
…………………
Kama mapenzi huweza
kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa.
Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
……………….
Naweza kukuazima mabega
yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu
yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.
…………………..
Lazima utakuwa mwizi
sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini
mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga
nakukosa.
……………..
Mpenzi nakupa pole sana
maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa
sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba
unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu
hadi sasa naonekana kama chizi.
………………………………………………………………
STORY NZURI
YA UPENDO
Kulikuwa na vipepeo wawili
waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba.
Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA,
atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema
sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!!
Jee…!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani
…………………..
Tunda gani liwe mfano
wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani
nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
……………………..
Kwenye ubongo nimekusevu
“I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonae nasema
“NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,every
“SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice
tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
……………………
Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo
nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya Maana pia sikuhisi UPWEKE wa
kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA.Mm nakutakia mambo makubwa matatu
kwa MUNGU
1/ RADHI ZAKE,
2/ HAIBA KWA WATU
3/ MAFANIKIO KATIKA KAZI ZA MIKONO YAKO.USIKU,,MWEMA,
……………………..
Nakupenda sana .Tafadhali
nionyeshe mapenzi ya kweli kila mara na sio kwa msimu. Ningependa
unishike kila mara, uniguse, unikumbatie kila wakati. Mimi ni msaada
mkubwa sana kwako, nibusu popote utapokuwa nami usiniogope hakuna mtu wa
kukushangaa,, nichukue hata ukiwa safarini sitalipa nauli. Kwani sina
gharama kwako, hata kwenye mfuko wako wa nguo nitakaa. Nitumie kila
unapojihisi upo mpweke sitaacha kukupa faraja, ni mimi mpenzio wa ukweli
‘QUR-AN,,NAKUTAKIA,,RAMADHANI,,KAREEM,,USIKU,,MWEMA!!!!
……………………..
“%%%,,”Nina”,,%%%,,”busu”%%%,,”tam”%%%,,”kwa”%%%,,”
ajili”%%%,,”yako”%%%,,”haya”%%%,,”%
%%”,,”fumba”%%%,,”macho”%%%”,,”bac”%%%,,”nikubusu”%%” 1__2__3aah”
umevunja”%%%,,”,,”masharti”%%%,,”,,”bado”%%%,,”,,”,,”,”unasoma”%%%,,”,,
“sms”%%%,,”%%%,,”
nimeairisha”%%%,,”siku”%%%,,”busu”,,”tena”%%%,,”%%%,,”labda”%%%,,”%%%,,”kesho”%%%,,”I
“LOVE,,”,,”YOU”
……………………
Nimepanda gari la
“KUKUPENDA” Nimefika kituo cha “KUKUWEKA” (moyoni) Ghafla nikapata
ajali mbaya ya kuwa mbali “NAWE”, Nimelazwa hospital ya “KUKUMISS”
(100%) Nimeandikiwa sindano za “KUKUWAZA” / kila saa,,, Nimetundikiwa
dripu ya “UAMINIFU” na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda “MWINGINE”
zaidi yako!
…………………….
Neno “ASUBUHI NJEMA” ni
dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na
kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
“ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitabasamu na kutikisa kichwa tu inatosha! Asubuhi njema.
……………………
AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.
…………………..
ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale
“MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani
Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa Tayari
Umeshachelewa. “KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI” Zitakuwa Zimetanda
Katika Kuta Za “MOYO” Wako. MACHOZI” Yatakutoka Kila Utakapokumbuka
UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye
Simu Yako. Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo
Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi
nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu”J.pili njema Hny.
……………………
chozi langu adimu ila wewe waeza litoa,kilio changu cha msimu ila ww waeza niliza,nakupenda xana
…………………..
chozi ni kimiminika
chenye ladha,hutoka kwa sababu fulani au kuajili ya mtu fulani,kwangu
mie chozi langu la tiririka bila sababu kila ninapo kuona,nashindwa
kuelewa kwanini ?wakati najua chozi halitoki bila sababu,baada ya
kutafakari kwa mda niligundua pendo la dhati nililo nalo kuajili yako
ndilo hunifanya niwe katika hali hiyo.
……………………
***Pasipo na SALAMU hapana UPENDO***.
***Pasipo na UPENDO hapana AMANI***.
***Pasipo na AMANI hapana IMANI***.
***na bila ya IMANI huingii PEPONI***
Kama unayasadiki maneno haya mpe SALAMU yule unaye mpenda na unayemjali.
Mimi ninakupenda na ninakujali ndio maana ninakusalim
na kukutakia asbh njema
……………
=> Wahenga walisema;
” Salamu ni Nusu ya kuonana “
=> Wenye Hekma wamesema;
” Raha ya Salamu ni Kusalimiana “
=> Waungwana nao wamesema;
” Ukipata Salamu, kamata Kalamu “
=> Hao wote waliona Umuhimu wa Salamu, na ndio maana wakavumbua Misemo mbali mbali kwa ajili ya kuzidisha :-
=> URAFIKI,
=> UNDUGU, baina ya watu wanaosalimiana.
=> Nami kwa kulijua hilo, nafanya Hima kukusalimia ndugu yangu kwa kusema
:UHALI GANI?
………………….
Nalia ukiwa “MBALI”
nachukia nisipo “KUONA” najuta ninapo “KUUDHI” naumia unapo”NITENGA”
nateseka ukiwa “KIMYA” ninafurahi “UKINIKUMBUKA. UCKU MWEMA Hny.
…………………..
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!
Na pia ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu.
…………………….
AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.
……………………..
Udugu wa kweli ndio wenye thamani,
Utajiri na mali si chochote maishani,
Upendo na kunijali ni faraja ya moyoni,
Hata kama upo mbali bado nakuthamini, Sa(…..)
……………………..
“UPENDO”
haupandwi ardhini, “UPENDO”
hauoti baharini,
“UPENDO”
haununuliwi dukani,
“UPENDO”
hauna ushauri,
“UPENDO”
haufundishwi darasani,
bali”UPENDO”hutoka ktk moyo wa mtu.
Na ni tabia ya mtu aliyozaliwa nayo toka kwa”MUNGU”. na kudhihirisha hilo Napenda Kuktakia USKU MWMA.
……………………..
ILOVE Y0U ””””””””””””””””””””
I NEED Y0U
%%%%%%%%%
I MISS Y0U
=============
I’M HAPPY 2 U
***************
Najua moyo wangu
umekuchagua ww na kuku2mia zawadi hii ili uelewe kwamba nakupenda sana,
nakujali zaid, nakuthamini kuliko, nakutakia kila la kheri pamoja na dua
njema,Ucku mwema hny.
………………………..
Urafiki” “ni” “mzuri”
“urafiki” “ni” “raha” “ikiwa” “mtapendana” “urafiki” “ni” “furaha”
“kama” “mtasikilizana” “urafiki” “ni” “mtamu” “kama” “mtasaidiana”
“urafiki” “ni” “mwema” “kama” “Mtakumbukana” “urafiki” ni hadhina ya
maisha” urafiki unazidi undugu kama mtaudumisha” “hakika” “rafiki”
“mwema” “ni” “wewe” “mwengine” “sijamuona” “ishaallah” “tumuombe”
“M/mungu” “atujaalie” “tuzidi” “kukumbukana” na” Kupendana” “I miss”you”
my friend
…………………………..
STORY NZURI
YA UPENDO
Kulikuwa na vipepeo wawili
waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba.
Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA,
atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema
sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!!
Jee…!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani
.
…………………….
kipi unataka kutoka kwangu Mwez huu wa july hii?
1=Moyo wangu
2=Tabasamu langu
3=Penzi langu
4=Hadithi
5=Urafiki
6=Muungano na mimi
7=Msamaha
8=Mahusiao
9=Tuchat sana
10=Muda wangu
11=Kwenda kuburudika na mimi sehem
12=Kuja kulala kwetu
13=Kuyashirikisha maisha na mimi.
14=Ushaur
15=Kukuchum.
Watumie sms hii rafiki zako woote ,uone nn wanataka uwafanyie,Lakini nijibu mm kwanza tafadhal…
……………………
Tukiwa tupo mwezi wa 9
robo 3 ya mwaka 2013 nachukua fursa hii kukushukuru sana kwa kutumia
muda wako mwingi na fedha zako ili kuwasiliana nami. Kila niliposoma sms
zako zenye nasaha,mzaha,kuelimisha n.k. niligundua mambo makubwa matano
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUNITHAMINI
Nilipogundua hayo
nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sn kwangu,sikuhisi UPWEKE
wa kukosa rafiki katika huu uso wa DUNIA,nakuomba unisamehe nilipokosea
na ninakuombea Kwa MUNGU akupe MAFANIKIO MEMA KTK MAISHA YAKO.
………………….
WEWE NI MFANO WA TUNDA GANI KATI YA HAYA?
1.EMBE-Furaha ya ndoa.
2.CHUNGWA-Mpweke lakin unatafuta.
3.LIMAU-Unampenda mtu lakin unaogopa kumwambia.
4.SHOKISHOKI-Upo ktk mahusiano ama ndoa lakin unaye mwengine ambaye unampenda.
5.PEASI-Bado unampenda mtu wako wa zaman.
6.PARACHICHI-Upo ktk
mahusiano na m2 asiyekufaa na hujui ni kwann unaendelea naye.
7.ZABIBU-Mpweke lakin ni mwenye furaha
8.NANASI-Huna habari na mapenz 9.TANGO-Upo ktk mahusiano lakin hujui kitakachotokea baadae.
10.PERA-Unampenda m2 ambaye naye anampenda m2 mwengine
11.PENSHENI-Umechanganyikiwa…*Nijibu tafadhari ila Kuwa mkweli*
…………………..
“MAISHA” ni ugomvi unapoyatafuta tayari umeingia bifu na walimwengu
“MAISHA” ni vita kali sana inahitaji maandalizi na zifuatazo ni silaha 9 Muhimu lazima uwenazo:-
1. Jiamini na uwe na nia ya unachokitafuta.
2. Uvumilivu kwa litakalokukuta.
3. Kuwa muaminifu kwa kila mtu.
4. Usikate tamaa iwapo haujafanikiwa.
5. Kuwa na malengo ktk kipato chako.
6. Jenga upendo kwa kila mtu.
7. Chunguza utakalo ambiwa kabla hujachukua hatua.
8. Epuka marafiki wanaopenda starehe.
9. Jua kuna faida na hasara!
NAKUTAKIA MSIMAMO MWEMA.
“nakutakia cku njema”
……………………………
Salamu ni moyo ktk
“IMANI”. Salamu ni uhai ktk “UPENDO”. Salamu ni ufunguo wa “RIZIKI”
salamu ni chakula cha “NAFSI” salamu ni “MSAMAHA” wa kudumu milele.
Salamu ni kinga ya maradhi” salamu huondosha “UADUI” Hakika salamu
ni”UTAKASO” wa “NAFSI”. Nami nakupa wewe niliyekutunuku. *****MCHANA
MWEMA!*****
…………………
…………………
Neno gani? linaumiza zaidi kutoka kwa mpenzi wako unae mpenda kwa dhati kati ya haya:- 1.Tuachane.
2.Sikutaki tena. 3.Nimepata mwngne.
4.Mbona king’ang’anizi wewe. 5.Sikupendi.
6.Wazazi wangu hawakutaki.
7.Siwezi kua na wewe.
8.Kama nilikosea njia tu. 9.Huna mvuto. 10.Najuta kuwa na ww.
naomba jibu
…………………………………….
UKITAKA KUWA NA FURAHA
KILA SIKU..fanya hivi…amini kuwa Mungu pekee ndie ana mamlaka ya kuamua
lolote juu yako..na si binadamu….mpende anaekutakia mabaya kwa kuamini
hajui atendalo…ishi kwa uhalisia wako na usìige maisha au mtindo wa
maisha ya mtu…tii haja za moyo wako si maneno ya watu..ridhika na
ulichonacho kwa kuamini ndicho mungu alichokupa na kuna siku utapata
zaidi…Jipende jinsi ulivyo maana kuna wenye kasoro zaidi
yako….wanaokudharau waheshim maana wanakupa uchungu wa kutafuta
mafanikio…amini wewe ni bora na muhimu kwa jamii, ndio maana umeumbwa.
Asubui.njema
……………………………………………………
…………………………………………..
ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale
“MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani
Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa,
”KILIO’ ‘HUZUNI’ SIMANZI” na “MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za
MOYO wako MACHOZI Yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi WANGU tkwako
na MOYO Utakuwa Mpweke kila utakapoiona namba YANGU Kwenye Cm YAKO
Utatamani uifute ila ROHO Itakuuma kwa KUWA Umenizoea Hivyo Jaribu
Kufurahia Uwepo WANGU Kabla Sijatoweka Dunian Ata Chura Ujua Umuhim Wa
Maji Pindi Yanapo Kauka Tuishi Kwa Aman Na Upendo Maish Ya Dunian Ni
Mafupi%